Kumbukumbu 15:1
Deuteronomy 15:1 · Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version 2015
Kila mwisho wa miaka saba ni lazima mfute madeni.
Deuteronomy 15:1 in English
Deuteronomy 15:1 · Berean Standard Bible
At the end of every seven years you must cancel debts.
Context
1Kila mwisho wa miaka saba ni lazima mfute madeni. 2Hivi ndivyo itakavyofanyika: Kila mkopeshaji atafuta mkopo aliomkopesha Mwisraeli mwenzake. Hatamtaka Mwisraeli mwenzake au ndugu yake amlipe hilo deni, kwa sababu wakati wa Bwana wa kufuta madeni umetangazwa. 3Unaweza kudai malipo kwa mgeni, lakini lazima ufute kila deni ambalo unamdai ndugu yako.
Swahili text and audio: Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version™, made available under an open license by Biblica, Inc.