Native Bible

Deuteronomy 13:9 · Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version 2015

Hakika ni lazima auawe. Ni lazima mkono wako uwe wa kwanza katika kumuua kisha mikono ya watu wengine wote.

Deuteronomy 13:9 in English

Deuteronomy 13:9 · Berean Standard Bible

Instead, you must surely kill him. Your hand must be the first against him to put him to death, and then the hands of all the people.

Context

7miungu ya watu wanaowazunguka, ikiwa karibu au mbali, kutoka mwisho mmoja wa nchi mpaka mwingine), 8usikubali wala usimsikilize. Usimhurumie! Usimwache wala usimkinge. 9Hakika ni lazima auawe. Ni lazima mkono wako uwe wa kwanza katika kumuua kisha mikono ya watu wengine wote. 10Mpigeni kwa mawe mpaka afe, kwa sababu alijaribu kuwageuza mtoke kwa Bwana Mungu wenu ambaye aliwatoa Misri, kutoka nchi ya utumwa. 11Kisha Israeli wote watasikia na kuogopa, wala hakuna mmoja miongoni mwenu atakayefanya uovu tena.

Swahili text and audio: Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version™, made available under an open license by Biblica, Inc.