Native Bible

Deuteronomy 13:8 · Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version 2015

usikubali wala usimsikilize. Usimhurumie! Usimwache wala usimkinge.

Deuteronomy 13:8 in English

Deuteronomy 13:8 · Berean Standard Bible

you must not yield to him or listen to him. Show him no pity, and do not spare him or shield him.

Context

6Kama ndugu yako hasa, au mwanao au binti yako, au mke umpendaye, au rafiki yako wa karibu sana akikushawishi kwa siri, akisema, “Na twende tukaabudu miungu mingine” (miungu ambayo ninyi wala baba zenu hamkuifahamu, 7miungu ya watu wanaowazunguka, ikiwa karibu au mbali, kutoka mwisho mmoja wa nchi mpaka mwingine), 8usikubali wala usimsikilize. Usimhurumie! Usimwache wala usimkinge. 9Hakika ni lazima auawe. Ni lazima mkono wako uwe wa kwanza katika kumuua kisha mikono ya watu wengine wote. 10Mpigeni kwa mawe mpaka afe, kwa sababu alijaribu kuwageuza mtoke kwa Bwana Mungu wenu ambaye aliwatoa Misri, kutoka nchi ya utumwa.

Swahili text and audio: Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version™, made available under an open license by Biblica, Inc.