Kumbukumbu 11:32
Deuteronomy 11:32 · Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version 2015
hakikisheni kwamba mnatii amri na sheria zote ninazoziweka mbele yenu leo.
Deuteronomy 11:32 in English
Deuteronomy 11:32 · Berean Standard Bible
be careful to follow all the statutes and ordinances that I am setting before you today.
Context
30Kama mnavyofahamu, milima hii ipo ngʼambo ya Yordani, magharibi ya barabara, kuelekea machweo ya jua, karibu na miti mikubwa ya More, katika nchi ya wale Wakanaani wanaoishi Araba, jirani na Gilgali. 31Karibu mvuke ngʼambo ya Yordani kuingia na kuimiliki nchi ambayo Bwana Mungu wenu anawapa. Wakati mtakapokuwa mmeichukua na mnaishi humo, 32hakikisheni kwamba mnatii amri na sheria zote ninazoziweka mbele yenu leo.
Swahili text and audio: Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version™, made available under an open license by Biblica, Inc.