Native Bible

Deuteronomy 11:26 · Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version 2015

Tazama, leo ninaweka mbele yenu baraka na laana:

Deuteronomy 11:26 in English

Deuteronomy 11:26 · Berean Standard Bible

See, today I am setting before you a blessing and a curse—

Context

24Kila mahali mtakapoweka mguu wenu patakuwa penu: Nchi yenu itaenea kutoka jangwa la Lebanoni, na kutoka mto wa Frati hadi bahari ya magharibi* 25Hapatakuwa na mtu atakayeweza kusimama dhidi yenu. Bwana Mungu wenu, kama alivyoahidi, ataweka juu ya nchi yote utisho na hofu kwa ajili yenu popote mwendako. 26Tazama, leo ninaweka mbele yenu baraka na laana: 27baraka kama mtatii maagizo ya Bwana Mungu wenu, ambayo ninawapa leo; 28laana kama hamtatii maagizo ya Bwana Mungu wenu na kuacha njia ambayo ninawaamuru leo kwa kufuata miungu mingine, ambayo hamkuijua.

Swahili text and audio: Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version™, made available under an open license by Biblica, Inc.