Native Bible

Deuteronomy 10:22 · Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version 2015

Baba zako walioshuka kwenda Misri jumla yao walikuwa sabini, na sasa Bwana Mungu wako amekufanya wengi kama nyota za angani.

Deuteronomy 10:22 in English

Deuteronomy 10:22 · Berean Standard Bible

Your fathers went down to Egypt, seventy in all, and now the LORD your God has made you as numerous as the stars in the sky.

Context

20Mche Bwana Mungu wako na umtumikie yeye. Shikamana naye kwa uthabiti na kuapa kwa jina lake. 21Yeye ni sifa yako; yeye ni Mungu wako, ambaye alikutendea yale maajabu makubwa na ya kutisha uliyoyaona kwa macho yako mwenyewe. 22Baba zako walioshuka kwenda Misri jumla yao walikuwa sabini, na sasa Bwana Mungu wako amekufanya wengi kama nyota za angani.

Swahili text and audio: Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version™, made available under an open license by Biblica, Inc.