Kumbukumbu 1:46
Deuteronomy 1:46 · Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version 2015
Hivyo mlikaa Kadeshi kwa siku nyingi, kwa muda ule wote mliokaa huko.
Deuteronomy 1:46 in English
Deuteronomy 1:46 · Berean Standard Bible
For this reason you stayed in Kadesh for a long time—a very long time.
Context
44Waamori ambao waliishi katika vilima hivyo waliinuka dhidi yenu, wakawafukuza kama kundi la nyuki wakiwapiga njia yote ya Seiri mpaka Horma. 45Mlirudi na kulia mbele za Bwana, lakini Mungu hakusikiliza kilio chenu, wala hakuwajali. 46Hivyo mlikaa Kadeshi kwa siku nyingi, kwa muda ule wote mliokaa huko.
Swahili text and audio: Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version™, made available under an open license by Biblica, Inc.