Native Bible

Daniel 6:19 · Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version 2015

Asubuhi na mapema, mfalme akaondoka na kuharakisha kwenda kwenye tundu la simba.

Daniel 6:19 in English

Daniel 6:19 · Berean Standard Bible

At the first light of dawn, the king got up and hurried to the den of lions.

Context

17Jiwe likaletwa na kuwekwa kwenye mdomo wa tundu, naye mfalme akalitia muhuri kwa pete yake mwenyewe pamoja na kwa pete za wakuu wake, ili hali ya Danieli isiweze kubadilishwa. 18Kisha mfalme akarudi kwenye jumba lake la kifalme, naye usiku kucha hakula chakula wala kutumia viburudisho alivyoletewa. Lakini hakuweza kulala. 19Asubuhi na mapema, mfalme akaondoka na kuharakisha kwenda kwenye tundu la simba. 20Wakati alipokaribia lile tundu, akamwita Danieli kwa sauti ya uchungu, “Danieli, mtumishi wa Mungu aliye hai! Je, Mungu wako unayemtumikia daima, ameweza kukuokoa kwa simba?” 21Danieli akajibu, “Ee mfalme, uishi milele!

Swahili text and audio: Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version™, made available under an open license by Biblica, Inc.