Danieli 11:44
Daniel 11:44 · Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version 2015
Lakini taarifa kutoka mashariki na kaskazini zitamshtua, naye ataondoka kwa ghadhabu nyingi ili kuangamiza na kuharibu kabisa wengi.
Daniel 11:44 in English
Daniel 11:44 · Berean Standard Bible
But news from the east and the north will alarm him, and he will go out with great fury to destroy many and devote them to destruction.*
Context
42Atapanua mamlaka yake juu ya nchi nyingi; hata Misri haitaepuka. 43Atamiliki hazina za dhahabu, fedha na utajiri wote wa Misri, pamoja na Walibia na Wakushi kwa kujisalimisha. 44Lakini taarifa kutoka mashariki na kaskazini zitamshtua, naye ataondoka kwa ghadhabu nyingi ili kuangamiza na kuharibu kabisa wengi. 45Atasimika hema zake za ufalme kati ya bahari na mlima mtakatifu wa kupendeza. Hata hivyo, atafikia mwisho wake, wala hakuna yeyote atakayemsaidia.
Swahili text and audio: Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version™, made available under an open license by Biblica, Inc.