Wakolosai 4:2
Colossians 4:2 · Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version 2015
Dumuni sana katika maombi, mkikesha katika hayo pamoja na kushukuru.
Colossians 4:2 in English
Colossians 4:2 · Berean Standard Bible
Devote yourselves to prayer, being watchful and thankful,
Context
1Ninyi mabwana, watendeeni watumwa wenu yaliyo haki na yanayostahili, mkitambua ya kwamba ninyi pia mnaye Bwana mbinguni. 2Dumuni sana katika maombi, mkikesha katika hayo pamoja na kushukuru. 3Pia tuombeeni na sisi ili Mungu atufungulie mlango wa kunena, ili tupate kuitangaza siri ya Kristo, ambayo kwa ajili yake pia mimi nimefungwa. 4Ombeni ili nipate kuitangaza Injili kwa udhahiri kama ipasavyo kunena.
Swahili text and audio: Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version™, made available under an open license by Biblica, Inc.