Wakolosai 4:15
Colossians 4:15 · Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version 2015
Wasalimuni ndugu wote wa Laodikia, na pia Nimfa, pamoja na kanisa linalokutana katika nyumba yake.
Colossians 4:15 in English
Colossians 4:15 · Berean Standard Bible
Greet the brothers in Laodicea, as well as Nympha and the church that meets at her house.
Context
13Ninashuhudia kumhusu kwamba anafanya kazi kwa bidii kwa ajili yenu, na kwa ajili ya ndugu wa Laodikia na wale wa Hierapoli. 14Rafiki yetu mpenzi Luka yule tabibu, pamoja na Dema, wanawasalimu. 15Wasalimuni ndugu wote wa Laodikia, na pia Nimfa, pamoja na kanisa linalokutana katika nyumba yake. 16Baada ya barua hii kusomwa kwenu, hakikisheni kwamba inasomwa pia katika kanisa la Walaodikia. Nanyi pia msome barua inayotoka Laodikia. 17Mwambieni Arkipo hivi: “Hakikisha kuwa unakamilisha ile huduma uliyopokea katika Bwana.”
Swahili text and audio: Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version™, made available under an open license by Biblica, Inc.