Wakolosai 2:1
Colossians 2:1 · Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version 2015
Nataka mjue jinsi ninavyojitaabisha kwa ajili yenu na kwa ajili ya wale walioko Laodikia, na pia kwa ajili ya wote ambao hawajapata kuniona mimi binafsi.
Colossians 2:1 in English
Colossians 2:1 · Berean Standard Bible
For I want you to know how much I am struggling for you and for those at Laodicea, and for all who have not met me face to face,
Context
1Nataka mjue jinsi ninavyojitaabisha kwa ajili yenu na kwa ajili ya wale walioko Laodikia, na pia kwa ajili ya wote ambao hawajapata kuniona mimi binafsi. 2Kusudi langu ni watiwe moyo na kuunganishwa katika upendo, ili wapate ule utajiri wa ufahamu mkamilifu, ili waijue siri ya Mungu, yaani, Kristo mwenyewe, 3ambaye ndani yake kumefichwa hazina zote za hekima na maarifa.
Swahili text and audio: Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version™, made available under an open license by Biblica, Inc.