Wakolosai 1:4
Colossians 1:4 · Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version 2015
kwa sababu tumesikia kuhusu imani yenu katika Kristo Yesu, na upendo wenu mlio nao kwa watakatifu wote:
Colossians 1:4 in English
Colossians 1:4 · Berean Standard Bible
because we have heard about your faith in Christ Jesus and your love for all the saints—
Context
2Kwa ndugu watakatifu na waaminifu katika Kristo, waishio Kolosai:
Neema na amani zitokazo kwa Mungu Baba yetu ziwe nanyi. 3Siku zote tunamshukuru Mungu, Baba wa Bwana wetu Yesu Kristo, tunapowaombea ninyi, 4kwa sababu tumesikia kuhusu imani yenu katika Kristo Yesu, na upendo wenu mlio nao kwa watakatifu wote: 5imani na upendo ule utokao katika tumaini mlilowekewa akiba mbinguni, na ambalo mmesikia habari zake katika neno la kweli, yaani, ile Injili 6iliyowafikia ninyi. Duniani kote Injili hii inazaa matunda na kuenea kama ilivyokuwa kwenu tangu siku ile mlipoisikia na kuielewa neema ya Mungu katika kweli yote.
Swahili text and audio: Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version™, made available under an open license by Biblica, Inc.