Amosi 5:1
Amos 5:1 · Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version 2015
Sikia neno hili, ee nyumba ya Israeli, ombolezo hili ninalifanya kuwahusu ninyi:
Amos 5:1 in English
Amos 5:1 · Berean Standard Bible
Hear this word, O house of Israel, this lamentation I take up against you:
Context
1Sikia neno hili, ee nyumba ya Israeli, ombolezo hili ninalifanya kuwahusu ninyi: 2“Bikira Israeli ameanguka,
kamwe hatainuka tena,
ameachwa pweke katika nchi yake,
hakuna yeyote wa kumwinua.” 3Hili ndilo Bwana Mwenyezi asemalo:
“Wakati mmoja wa miji yako utakapopeleka watu elfu moja vitani kwa ajili ya Israeli,
mia moja tu watarudi;
wakati mji utakapopeleka mia moja,
kumi tu ndio watarudi hai.”
Swahili text and audio: Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version™, made available under an open license by Biblica, Inc.