Native Bible

Amos 1:15 · Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version 2015

Mfalme wake atakwenda uhamishoni, yeye pamoja na maafisa wake,” asema Bwana.

Amos 1:15 in English

Amos 1:15 · Berean Standard Bible

Their king will go into exile *— he and his princes together,” says the LORD.

Context

13Hili ndilo asemalo Bwana: “Kwa dhambi tatu za Amoni, hata kwa dhambi nne, sitaizuia ghadhabu yangu. Kwa sababu aliwatumbua wanawake wajawazito wa Gileadi ili kuongeza mipaka yake. 14Nitatuma moto kwenye kuta za Raba ambao utateketeza ngome zake katikati ya vilio vya vita katika siku ya mapigano, katikati ya upepo mkali katika siku ya dhoruba. 15Mfalme wake atakwenda uhamishoni, yeye pamoja na maafisa wake,” asema Bwana.

Swahili text and audio: Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version™, made available under an open license by Biblica, Inc.