Native Bible

Acts 9:43 · Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version 2015

Petro akakaa Yafa kwa siku nyingi akiishi na Simoni mtengenezaji ngozi.

Acts 9:43 in English

Acts 9:43 · Berean Standard Bible

And Peter stayed for several days in Joppa with a tanner named Simon.

Context

41Petro akamshika mkono akamwinua, ndipo akawaita wale watakatifu na wajane akamkabidhi kwao akiwa hai. 42Habari hizi zikajulikana sehemu zote za Yafa na watu wengi wakamwamini Bwana. 43Petro akakaa Yafa kwa siku nyingi akiishi na Simoni mtengenezaji ngozi.

Swahili text and audio: Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version™, made available under an open license by Biblica, Inc.