Native Bible

Acts 7:23 · Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version 2015

“Mose alipokuwa na umri wa miaka arobaini aliamua kuwatembelea ndugu zake Waisraeli.

Acts 7:23 in English

Acts 7:23 · Berean Standard Bible

When Moses was forty years old, he decided to visit his brothers, the children of Israel.

Context

21Waliposhindwa kumficha zaidi, wakamweka nje mtoni na binti Farao akamchukua akamtunza kama mtoto wake mwenyewe. 22Mose akafundishwa hekima yote ya Wamisri, akawa mtu hodari kwa maneno na matendo. 23“Mose alipokuwa na umri wa miaka arobaini aliamua kuwatembelea ndugu zake Waisraeli. 24Aliona mmoja wao akidhulumiwa na Mmisri, akamtetea yule aliyeonewa, akampiga yule Mmisri akamuua kulipiza kisasi. 25Mose alidhani kuwa ndugu zake wangetambua kwamba Mungu anamtumia ili kuwaokoa, lakini wao hawakuelewa.

Swahili text and audio: Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version™, made available under an open license by Biblica, Inc.