Matendo 7:15
Acts 7:15 · Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version 2015
Hivyo Yakobo akaenda Misri ambako yeye na baba zetu walifia.
Acts 7:15 in English
Acts 7:15 · Berean Standard Bible
So Jacob went down to Egypt, where he and our fathers died.
Context
13Walipokwenda mara ya pili, Yosefu alijitambulisha kwa ndugu zake, nao ndugu zake Yosefu wakajulishwa kwa Farao. 14Ndipo Yosefu akawatuma kumleta Yakobo baba yake pamoja na jamaa yake yote, jumla yao walikuwa watu sabini na watano. 15Hivyo Yakobo akaenda Misri ambako yeye na baba zetu walifia. 16Miili yao ilirudishwa Shekemu na kuzikwa katika kaburi ambalo Abrahamu alinunua kutoka kwa wana wa Hamori kwa kiasi fulani cha fedha. 17“Lakini wakati ulipokuwa unakaribia wa kutimizwa kwa ile ahadi ambayo Mungu alikuwa amempa Abrahamu, watu wetu walizidi kuongezeka sana huko Misri.
Swahili text and audio: Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version™, made available under an open license by Biblica, Inc.