Matendo 6:10
Acts 6:10 · Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version 2015
Lakini hawakuweza kushindana na hekima yake wala huyo Roho ambaye alisema kwake.
Acts 6:10 in English
Acts 6:10 · Berean Standard Bible
but they could not stand up to his wisdom or the Spirit by whom he spoke.
Context
8Stefano, akiwa amejaa neema na nguvu za Mungu, alifanya ishara na miujiza mikubwa miongoni mwa watu. 9Hata hivyo, ukainuka upinzani wa watu wa Sinagogi la Watu Huru (kama lilivyokuwa linaitwa), la Wayahudi wa Kirene na wa Iskanderia, na wengine kutoka Kilikia na Asia. Watu hawa wakaanza kupingana na Stefano. 10Lakini hawakuweza kushindana na hekima yake wala huyo Roho ambaye alisema kwake. 11Ndipo kwa siri wakawashawishi watu fulani waseme, “Tumemsikia Stefano akisema maneno ya kufuru dhidi ya Mose na dhidi ya Mungu.” 12Wakawachochea watu, wazee na walimu wa Sheria, nao wakamkamata Stefano wakamfikisha mbele ya baraza.
Swahili text and audio: Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version™, made available under an open license by Biblica, Inc.