Native Bible

Acts 20:36 · Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version 2015

Paulo alipomaliza kusema haya akapiga magoti pamoja nao wote akaomba.

Acts 20:36 in English

Acts 20:36 · Berean Standard Bible

When Paul had said this, he knelt down with all of them and prayed.

Context

34Ninyi wenyewe mnajua kwamba mikono yangu hii imetumika kwa mahitaji yangu na ya wale waliokuwa pamoja nami. 35Katika kila jambo nimewaonyesha kwamba kwa njia hii ya kufanya kazi kwa bidii imetupasa kuwasaidia wadhaifu, mkikumbuka maneno ya Bwana Yesu mwenyewe jinsi alivyosema, ‘Ni heri kutoa kuliko kupokea.’ ” 36Paulo alipomaliza kusema haya akapiga magoti pamoja nao wote akaomba. 37Wote wakalia, wakamkumbatia Paulo na kumbusu, 38Kilichowahuzunisha zaidi ni kwa sababu ya yale maneno aliyosema kwamba kamwe hawatauona uso wake tena. Wakaenda naye mpaka kwenye meli.

Swahili text and audio: Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version™, made available under an open license by Biblica, Inc.