Matendo 19:41
Acts 19:41 · Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version 2015
Baada ya kusema haya akavunja mkutano.
Acts 19:41 in English
Acts 19:41 · Berean Standard Bible
After he had said this, he dismissed the assembly.
Context
39Lakini kama kuna jambo jingine lolote zaidi mnalotaka kulileta, itabidi lisuluhishwe katika kusanyiko halali. 40Kama ilivyo sasa, tuko hatarini kushtakiwa kwa kufanya ghasia kwa sababu ya tukio la leo. Kwa kuwa hakuna sababu tutakayoweza kutoa kuhalalisha msukosuko huu.” 41Baada ya kusema haya akavunja mkutano.
Swahili text and audio: Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version™, made available under an open license by Biblica, Inc.