Matendo 18:1
Acts 18:1 · Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version 2015
Baada ya haya, Paulo akaondoka Athene akaenda Korintho.
Acts 18:1 in English
Acts 18:1 · Berean Standard Bible
After this, Paul left Athens and went to Corinth.
Context
1Baada ya haya, Paulo akaondoka Athene akaenda Korintho. 2Huko akakutana na Myahudi mmoja jina lake Akila, mwenyeji wa Ponto, ambaye alikuwa amewasili karibuni kutoka Italia pamoja na mkewe Prisila, kwa sababu Klaudio alikuwa ameamuru Wayahudi wote waondoke Rumi. Paulo akaenda kuwaona, 3naye kwa kuwa alikuwa mtengeneza mahema kama wao, akakaa na kufanya kazi pamoja nao.
Swahili text and audio: Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version™, made available under an open license by Biblica, Inc.