Matendo 13:52
Acts 13:52 · Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version 2015
Wanafunzi wakajawa na furaha na Roho Mtakatifu.
Acts 13:52 in English
Acts 13:52 · Berean Standard Bible
And the disciples were filled with joy and with the Holy Spirit.
Context
50Lakini Wayahudi wakawachochea wanawake wenye kumcha Mungu, wenye vyeo pamoja na watu maarufu katika mji, wakachochea mateso dhidi ya Paulo na Barnaba na kuwafukuza kutoka eneo hilo. 51Hivyo Paulo na Barnaba wakakungʼuta mavumbi ya miguu yao ili kuwapinga, nao wakaenda Ikonio. 52Wanafunzi wakajawa na furaha na Roho Mtakatifu.
Swahili text and audio: Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version™, made available under an open license by Biblica, Inc.