Matendo 13:51
Acts 13:51 · Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version 2015
Hivyo Paulo na Barnaba wakakungʼuta mavumbi ya miguu yao ili kuwapinga, nao wakaenda Ikonio.
Acts 13:51 in English
Acts 13:51 · Berean Standard Bible
So they shook the dust off their feet in protest against them and went to Iconium.
Context
49Neno la Bwana likaenea katika eneo lile lote. 50Lakini Wayahudi wakawachochea wanawake wenye kumcha Mungu, wenye vyeo pamoja na watu maarufu katika mji, wakachochea mateso dhidi ya Paulo na Barnaba na kuwafukuza kutoka eneo hilo. 51Hivyo Paulo na Barnaba wakakungʼuta mavumbi ya miguu yao ili kuwapinga, nao wakaenda Ikonio. 52Wanafunzi wakajawa na furaha na Roho Mtakatifu.
Swahili text and audio: Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version™, made available under an open license by Biblica, Inc.