Matendo 12:23
Acts 12:23 · Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version 2015
Ghafula, kwa kuwa Herode hakumpa Mungu utukufu, malaika wa Bwana akampiga, naye akaliwa na chango, akafa.
Acts 12:23 in English
Acts 12:23 · Berean Standard Bible
Immediately, because Herod did not give glory to God, an angel of the Lord struck him down, and he was eaten by worms and died.
Context
21Katika siku iliyochaguliwa Herode Agripa akavaa mavazi yake ya kifalme, akaketi kwenye kiti chake cha enzi na kuwahutubia watu. 22Watu waliokuwa wamekusanyika wakapiga kelele, wakisema, “Hii si sauti ya mwanadamu, bali ni ya Mungu.” 23Ghafula, kwa kuwa Herode hakumpa Mungu utukufu, malaika wa Bwana akampiga, naye akaliwa na chango, akafa. 24Lakini neno la Mungu likaendelea mbele na kuenea, nao wengi wakaambatana nalo. 25Barnaba na Sauli walipomaliza ile huduma yao iliyowapeleka, wakarudi Yerusalemu wakiwa pamoja na Yohana aitwaye Marko.
Swahili text and audio: Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version™, made available under an open license by Biblica, Inc.