Matendo 12:2
Acts 12:2 · Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version 2015
Akaamuru Yakobo, ndugu yake Yohana, auawe kwa upanga.
Acts 12:2 in English
Acts 12:2 · Berean Standard Bible
He had James, the brother of John, put to death with the sword.
Context
1Wakati huo huo Mfalme Herode Agripa aliwakamata baadhi ya watu wa kanisa. 2Akaamuru Yakobo, ndugu yake Yohana, auawe kwa upanga. 3Alipoona jambo hilo limewapendeza Wayahudi, akaendelea, akamkamata pia Petro. Hii ilitokea wakati wa Sikukuu ya Mikate Isiyotiwa Chachu. 4Baada ya kumkamata alimtia gerezani, chini ya ulinzi wa vikundi vinne vya askari, vyenye askari wanne kila kimoja. Herode alikuwa amekusudia kumtoa na kumfanyia mashtaka mbele ya watu baada ya Pasaka.
Swahili text and audio: Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version™, made available under an open license by Biblica, Inc.