Matendo 11:9
Acts 11:9 · Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version 2015
“Sauti ikasema kutoka mbinguni mara ya pili, ‘Usikiite najisi kitu chochote Mungu alichokitakasa.’
Acts 11:9 in English
Acts 11:9 · Berean Standard Bible
But the voice spoke from heaven a second time, ‘Do not call anything impure that God has made clean.’
Context
7Ndipo nikasikia sauti ikiniambia, ‘Petro, ondoka uchinje na ule.’ 8“Nikajibu, ‘La hasha Bwana! Kitu chochote kilicho najisi hakijaingia kinywani mwangu.’ 9“Sauti ikasema kutoka mbinguni mara ya pili, ‘Usikiite najisi kitu chochote Mungu alichokitakasa.’ 10Jambo hili lilitokea mara tatu, ndipo kile kitu kikavutwa tena mbinguni. 11“Wakati ule ule watu watatu, waliokuwa wametumwa kutoka Kaisaria waliwasili katika nyumba niliyokuwa nikikaa.
Swahili text and audio: Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version™, made available under an open license by Biblica, Inc.