Matendo 11:25
Acts 11:25 · Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version 2015
Kisha Barnaba akaenda Tarso kumtafuta Sauli,
Acts 11:25 in English
Acts 11:25 · Berean Standard Bible
Then Barnabas went to Tarsus to look for Saul,
Context
23Alipofika na kuona madhihirisho ya neema ya Mungu, akafurahi na kuwatia moyo waendelee kuwa waaminifu kwa Bwana kwa mioyo yao yote. 24Barnaba alikuwa mtu mwema, aliyejaa Roho Mtakatifu, mwenye imani, nayo idadi kubwa ya watu wakaongezeka kwa Bwana. 25Kisha Barnaba akaenda Tarso kumtafuta Sauli, 26naye alipompata akamleta Antiokia. Hivyo kwa mwaka mzima Barnaba na Sauli wakakutana na kanisa na kufundisha idadi kubwa ya watu. Ilikuwa ni katika kanisa la Antiokia kwa mara ya kwanza wanafunzi waliitwa Wakristo. 27Wakati huo manabii walishuka toka Yerusalemu hadi Antiokia.
Swahili text and audio: Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version™, made available under an open license by Biblica, Inc.