Native Bible

Acts 10:26 · Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version 2015

Lakini Petro akamwinua akamwambia, “Simama, mimi ni mwanadamu tu.”

Acts 10:26 in English

Acts 10:26 · Berean Standard Bible

But Peter helped him up. “Stand up,” he said, “I am only a man myself.”

Context

24Siku iliyofuata wakawasili Kaisaria. Kornelio alikuwa akiwangoja pamoja na jamaa yake na marafiki zake wa karibu. 25Petro alipokuwa akiingia ndani, Kornelio alikuja kumlaki, akaanguka miguuni pake kwa heshima. 26Lakini Petro akamwinua akamwambia, “Simama, mimi ni mwanadamu tu.” 27Petro alipokuwa akizungumza naye akaingia ndani na kukuta watu wengi wamekusanyika. 28Akawaambia, “Mnajua kabisa kwamba ni kinyume cha sheria yetu Myahudi kuchangamana na mtu wa Mataifa au kumtembelea. Lakini Mungu amenionyesha kwamba nisimwite mtu yeyote kuwa najisi au asiye safi.

Swahili text and audio: Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version™, made available under an open license by Biblica, Inc.