3 Yohana 1:6
3 John 1:6 · Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version 2015
Wameshuhudia kuhusu upendo wako mbele ya kanisa. Utafanya vyema ukiwasafirisha kama inavyostahili kwa Mungu.
3 John 1:6 in English
3 John 1:6 · Berean Standard Bible
They have testified to the church about your love. You will do well to send them on their way in a manner worthy of God.
Context
4Sina furaha kubwa kuliko hii, kusikia kwamba watoto wangu wanaenenda katika kweli. 5Rafiki mpendwa, wewe ni mwaminifu kwa yale unayowatendea ndugu, ingawa wao ni wageni kwako. 6Wameshuhudia kuhusu upendo wako mbele ya kanisa. Utafanya vyema ukiwasafirisha kama inavyostahili kwa Mungu. 7Ilikuwa ni kwa ajili ya hilo Jina waliondoka, bila kukubali kupokea msaada wowote kutoka kwa watu wasioamini. 8Kwa hiyo imetupasa sisi kuonyesha ukarimu kwa watu kama hao ili tuweze kutenda kazi pamoja kwa ajili ya kweli.
Swahili text and audio: Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version™, made available under an open license by Biblica, Inc.