2 Timotheo 3:17
2 Timothy 3:17 · Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version 2015
ili mtu wa Mungu awe amekamilishwa, apate kutenda kila kazi njema.
2 Timothy 3:17 in English
2 Timothy 3:17 · Berean Standard Bible
so that the man of God may be complete, fully equipped for every good work.
Context
15na jinsi ambavyo tangu utoto umeyajua Maandiko matakatifu, ambayo yanaweza kukuhekimisha upate wokovu kwa njia ya imani katika Kristo Yesu. 16Kila Andiko limevuviwa na Mungu na lafaa kwa mafundisho, kwa kuwaonya watu makosa yao, kwa kuwaongoza na kwa kuwafundisha katika haki, 17ili mtu wa Mungu awe amekamilishwa, apate kutenda kila kazi njema.
Swahili text and audio: Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version™, made available under an open license by Biblica, Inc.