Native Bible

2 Timothy 3:16 · Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version 2015

Kila Andiko limevuviwa na Mungu na lafaa kwa mafundisho, kwa kuwaonya watu makosa yao, kwa kuwaongoza na kwa kuwafundisha katika haki,

2 Timothy 3:16 in English

2 Timothy 3:16 · Berean Standard Bible

All Scripture is God-breathed and is useful for instruction, for conviction, for correction, and for training in righteousness,

Context

14Bali wewe, udumu katika yale uliyojifunza na kuyaamini kwa uthabiti, ukitambua ya kuwa ulijifunza hayo kutoka kwa nani, 15na jinsi ambavyo tangu utoto umeyajua Maandiko matakatifu, ambayo yanaweza kukuhekimisha upate wokovu kwa njia ya imani katika Kristo Yesu. 16Kila Andiko limevuviwa na Mungu na lafaa kwa mafundisho, kwa kuwaonya watu makosa yao, kwa kuwaongoza na kwa kuwafundisha katika haki, 17ili mtu wa Mungu awe amekamilishwa, apate kutenda kila kazi njema.

Swahili text and audio: Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version™, made available under an open license by Biblica, Inc.