Native Bible

2 Timothy 2:1 · Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version 2015

Basi, wewe mwanangu, uwe hodari katika neema iliyo ndani ya Kristo Yesu.

2 Timothy 2:1 in English

2 Timothy 2:1 · Berean Standard Bible

You therefore, my child, be strong in the grace that is in Christ Jesus.

Context

1Basi, wewe mwanangu, uwe hodari katika neema iliyo ndani ya Kristo Yesu. 2Nayo mambo yale uliyonisikia nikiyasema mbele ya mashahidi wengi, uwakabidhi watu waaminifu watakaoweza kuwafundisha watu wengine vilevile. 3Vumilia taabu pamoja nasi kama askari mwema wa Kristo Yesu.

Swahili text and audio: Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version™, made available under an open license by Biblica, Inc.