2 Samweli 6:23
2 Samuel 6:23 · Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version 2015
Naye Mikali binti Sauli hakuwa na watoto mpaka siku ya kufa kwake.
2 Samuel 6:23 in English
2 Samuel 6:23 · Berean Standard Bible
And Michal the daughter of Saul had no children to the day of her death.
Context
21Daudi akamwambia Mikali, “Nilifanya hivyo mbele za Bwana ambaye alinichagua mimi badala ya baba yako au mwingine yeyote kutoka nyumba yake wakati aliponiweka niwe mtawala juu ya Israeli, watu wa Bwana. Kwa hiyo nitacheza mbele za Bwana. 22Nitakuwa asiye na heshima zaidi kuliko sasa, nami nitajishusha machoni pangu mwenyewe. Lakini kwa hawa vijakazi uliosema habari zao nitaheshimiwa.” 23Naye Mikali binti Sauli hakuwa na watoto mpaka siku ya kufa kwake.
Swahili text and audio: Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version™, made available under an open license by Biblica, Inc.