Native Bible

2 Samuel 5:16 · Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version 2015

Elishama, Eliada na Elifeleti.

2 Samuel 5:16 in English

2 Samuel 5:16 · Berean Standard Bible

Elishama, Eliada, and Eliphelet.

Context

14Haya ndiyo majina ya watoto waliozaliwa kwake huko: Shamua, Shobabu, Nathani, Solomoni, 15Ibihari, Elishua, Nefegi, Yafia, 16Elishama, Eliada na Elifeleti. 17Wafilisti waliposikia kuwa Daudi ametiwa mafuta kuwa mfalme wa Israeli, wakapanda na jeshi lao lote kwenda kumsaka, lakini Daudi akapata habari hizo, naye akateremka kwenye ngome. 18Basi Wafilisti walikuwa wamekuja na kusambaa kwenye Bonde la Warefai,

Swahili text and audio: Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version™, made available under an open license by Biblica, Inc.