Native Bible

2 Samuel 23:25 · Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version 2015

Shama, Mharodi; Elika, Mharodi;

2 Samuel 23:25 in English

2 Samuel 23:25 · Berean Standard Bible

Shammah the Harodite, Elika the Harodite,

Context

23Yeye aliheshimiwa zaidi ya wale Thelathini, lakini hakujumuishwa miongoni mwa wale Watatu. Daudi akamweka kuwa kiongozi wa walinzi wake. 24Miongoni mwa wale Thelathini walikuwepo: Asaheli ndugu wa Yoabu; Elhanani mwana wa Dodo kutoka Bethlehemu; 25Shama, Mharodi; Elika, Mharodi; 26Helesi, Mpalti; Ira mwana wa Ikeshi kutoka Tekoa; 27Abiezeri kutoka Anathothi; Mebunai, Mhushathi;

Swahili text and audio: Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version™, made available under an open license by Biblica, Inc.