Native Bible

2 Samuel 22:1 · Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version 2015

Daudi alimwimbia Bwana maneno ya wimbo huu wakati Bwana alipomwokoa mikononi mwa adui zake wote, na pia mkononi mwa Sauli.

2 Samuel 22:1 in English

2 Samuel 22:1 · Berean Standard Bible

And David sang this song to the LORD on the day the LORD had delivered him from the hand of all his enemies and from the hand of Saul.

Context

1Daudi alimwimbia Bwana maneno ya wimbo huu wakati Bwana alipomwokoa mikononi mwa adui zake wote, na pia mkononi mwa Sauli. 2Akasema: “Bwana ni mwamba wangu, ngome yangu na mwokozi wangu, 3Mungu wangu ni mwamba wangu, ambaye kwake ninakimbilia, ngao yangu na pembe ya wokovu wangu. Yeye ni ngome yangu, kimbilio langu na mwokozi wangu, huniokoa kutoka kwa watu wenye jeuri.

Swahili text and audio: Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version™, made available under an open license by Biblica, Inc.