2 Wafalme 6:1
2 Kings 6:1 · Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version 2015
Wana wa manabii wakamwambia Elisha, “Tazama, mahali hapa tunapokutana nawe ni padogo sana kwetu.
2 Kings 6:1 in English
2 Kings 6:1 · Berean Standard Bible
Now the sons of the prophets said to Elisha, “Please take note that the place where we meet with you is too small for us.
Context
1Wana wa manabii wakamwambia Elisha, “Tazama, mahali hapa tunapokutana nawe ni padogo sana kwetu. 2Twendeni Yordani, mahali ambapo kila mmoja wetu anaweza kupata nguzo moja, nasi tujenge huko mahali petu pa kuishi.”
Naye akawaambia, “Nendeni.” 3Kisha mmoja wao akasema, “Je, tafadhali, huwezi kufuatana na watumishi wako?”
Elisha akajibu, “Nitakuja.”
Swahili text and audio: Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version™, made available under an open license by Biblica, Inc.