Native Bible

2 Kings 20:2 · Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version 2015

Hezekia akaelekeza uso wake ukutani, akamwomba Bwana:

2 Kings 20:2 in English

2 Kings 20:2 · Berean Standard Bible

Then Hezekiah turned his face to the wall and prayed to the LORD, saying,

Context

1Katika siku hizo, Hezekia akaugua, naye akawa karibu kufa. Nabii Isaya mwana wa Amozi akaenda kwake na kumwambia, “Hili ndilo asemalo Bwana: Tengeneza mambo ya nyumba yako, kwa sababu utakufa, hutapona.” 2Hezekia akaelekeza uso wake ukutani, akamwomba Bwana: 3“Ee Bwana, kumbuka jinsi nilivyoenenda mbele zako kwa uaminifu na kujitoa kwa moyo wangu wote, na kufanya yaliyo mema machoni pako.” Naye Hezekia akalia kwa uchungu. 4Kabla Isaya hajaondoka katika ua wa kati, neno la Bwana likamjia, akaambiwa:

Swahili text and audio: Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version™, made available under an open license by Biblica, Inc.