2 Wafalme 2:25
2 Kings 2:25 · Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version 2015
Naye akaondoka huko, akaenda Mlima Karmeli, na kutoka huko akarudi Samaria.
2 Kings 2:25 in English
2 Kings 2:25 · Berean Standard Bible
And Elisha went on to Mount Carmel, and from there he returned to Samaria.
Context
23Kutoka huko Elisha akakwea kwenda Betheli. Ikawa alipokuwa akitembea barabarani, baadhi ya vijana wakatoka mjini na kumfanyia mzaha. Wakasema, “Paa, wewe mwenye upaa! Paa, wewe mwenye upaa!” 24Akageuka, akawatazama na kuwalaani kwa Jina la Bwana. Kisha dubu wawili wa kike wakatokea mwituni na kuwararua vijana arobaini na wawili miongoni mwao. 25Naye akaondoka huko, akaenda Mlima Karmeli, na kutoka huko akarudi Samaria.
Swahili text and audio: Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version™, made available under an open license by Biblica, Inc.