Native Bible

2 Corinthians 7:16 · Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version 2015

Nafurahi kwamba ninaweza kuwatumaini ninyi kabisa.

2 Corinthians 7:16 in English

2 Corinthians 7:16 · Berean Standard Bible

I rejoice that I can have complete confidence in you.

Context

14Nilikuwa nimewasifu ninyi kwake, nanyi hamkuniaibisha. Lakini kila kitu tulichowaambia ninyi, kilikuwa kweli, hivyo kule kujisifu kwetu kwa Tito kuwahusu ninyi kumethibitishwa kuwa kweli pia. 15Upendo wake kwenu unaongezeka sana anapokumbuka jinsi mlivyokuwa watiifu, na kumpokea kwa hofu na kutetemeka. 16Nafurahi kwamba ninaweza kuwatumaini ninyi kabisa.

Swahili text and audio: Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version™, made available under an open license by Biblica, Inc.