2 Wakorintho 7:15
2 Corinthians 7:15 · Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version 2015
Upendo wake kwenu unaongezeka sana anapokumbuka jinsi mlivyokuwa watiifu, na kumpokea kwa hofu na kutetemeka.
2 Corinthians 7:15 in English
2 Corinthians 7:15 · Berean Standard Bible
And his affection for you is even greater when he remembers that you were all obedient as you welcomed him with fear and trembling.
Context
13Kwa ajili ya haya tumefarijika.
Zaidi ya kule sisi kutiwa moyo, tulifurahi sana kumwona Tito alivyo na furaha, kwa sababu roho yake imeburudishwa na ninyi nyote. 14Nilikuwa nimewasifu ninyi kwake, nanyi hamkuniaibisha. Lakini kila kitu tulichowaambia ninyi, kilikuwa kweli, hivyo kule kujisifu kwetu kwa Tito kuwahusu ninyi kumethibitishwa kuwa kweli pia. 15Upendo wake kwenu unaongezeka sana anapokumbuka jinsi mlivyokuwa watiifu, na kumpokea kwa hofu na kutetemeka. 16Nafurahi kwamba ninaweza kuwatumaini ninyi kabisa.
Swahili text and audio: Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version™, made available under an open license by Biblica, Inc.