2 Wakorintho 6:17
2 Corinthians 6:17 · Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version 2015
“Kwa hiyo tokeni miongoni mwao, mkatengwe nao, asema Bwana. Msiguse kitu chochote kilicho najisi, nami nitawakaribisha.”
2 Corinthians 6:17 in English
2 Corinthians 6:17 · Berean Standard Bible
“Therefore come out from among them and be separate, says the Lord. Touch no unclean thing, and I will receive you.”*
Context
15Kuna mapatano gani kati ya Kristo na Beliari?* Yeye aaminiye ana sehemu gani na yeye asiyeamini? 16Kuna mapatano gani kati ya Hekalu la Mungu na sanamu? Kwa kuwa sisi tu Hekalu la Mungu aliye hai. Kama Mungu alivyosema: “Nitakaa pamoja nao na kutembea katikati yao, nami nitakuwa Mungu wao, nao watakuwa watu wangu.” 17“Kwa hiyo tokeni miongoni mwao,
mkatengwe nao,
asema Bwana.
Msiguse kitu chochote kilicho najisi,
nami nitawakaribisha.” 18“Mimi nitakuwa Baba kwenu,
nanyi mtakuwa wanangu na binti zangu,
asema Bwana Mwenyezi.”
Swahili text and audio: Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version™, made available under an open license by Biblica, Inc.