Native Bible

2 Corinthians 5:2 · Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version 2015

Katika hema hii twalia kwa uchungu, tukitamani kuvikwa makao yetu ya mbinguni,

2 Corinthians 5:2 in English

2 Corinthians 5:2 · Berean Standard Bible

For in this tent we groan, longing to be clothed with our heavenly dwelling,

Context

1Kwa maana twajua kama hema yetu ya dunia tunayoishi ikiharibiwa, tunalo jengo kutoka kwa Mungu, nyumba iliyo ya milele kule mbinguni, isiyojengwa kwa mikono ya wanadamu. 2Katika hema hii twalia kwa uchungu, tukitamani kuvikwa makao yetu ya mbinguni, 3kwa kuwa tukiisha kuvikwa hatutaonekana tena kuwa uchi. 4Kwa kuwa tukiwa bado katika hema hii twalia kwa uchungu na kulemewa, kwa sababu hatutaki kuvuliwa bali kuvikwa makao yetu ya mbinguni ili kwamba kile kipatikanacho na mauti kimezwe na uzima.

Swahili text and audio: Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version™, made available under an open license by Biblica, Inc.