Native Bible

2 Corinthians 11:1 · Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version 2015

Laiti mngenivumilia kidogo katika upumbavu wangu! Naam, nivumilieni kidogo.

2 Corinthians 11:1 in English

2 Corinthians 11:1 · Berean Standard Bible

I hope you will bear with a little of my foolishness, but you are already doing that.

Context

1Laiti mngenivumilia kidogo katika upumbavu wangu! Naam, nivumilieni kidogo. 2Ninawaonea wivu, wivu wa Kimungu, kwa kuwa mimi niliwaposea mume mmoja, ili niwalete kwa Kristo kama mabikira safi. 3Lakini nina hofu kuwa, kama vile Eva alivyodanganywa kwa ujanja wa yule nyoka, mawazo yenu yasije yakapotoshwa, mkauacha unyofu na usafi wa upendo wenu kwa Kristo.

Swahili text and audio: Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version™, made available under an open license by Biblica, Inc.