Native Bible

2 Chronicles 6:2 · Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version 2015

Nimejenga Hekalu zuri kwa ajili yako, mahali pako pa kukaa milele.”

2 Chronicles 6:2 in English

2 Chronicles 6:2 · Berean Standard Bible

and I have built You an exalted house, a place for You to dwell forever.”

Context

1Ndipo Solomoni akasema, “Bwana alisema kwamba ataishi katika giza nene. 2Nimejenga Hekalu zuri kwa ajili yako, mahali pako pa kukaa milele.” 3Kusanyiko lote la Israeli lilipokuwa limesimama hapo, mfalme akageuka na kuwabariki. 4Kisha akasema: “Ahimidiwe Bwana, Mungu wa Israeli, ambaye kwa mikono yake mwenyewe ametimiza lile alilomwahidi Daudi baba yangu kwa kinywa chake mwenyewe. Kwa kuwa alisema,

Swahili text and audio: Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version™, made available under an open license by Biblica, Inc.