2 Nyakati 3:1
2 Chronicles 3:1 · Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version 2015
Ndipo Solomoni akaanza kujenga Hekalu la Bwana katika Yerusalemu juu ya Mlima Moria, pale ambapo Bwana alikuwa amemtokea Daudi baba yake. Ilikuwa katika kiwanja cha kupuria cha Arauna,* Myebusi, mahali palipotolewa na Daudi.
2 Chronicles 3:1 in English
2 Chronicles 3:1 · Berean Standard Bible
Then Solomon began to build the house of the LORD in Jerusalem on Mount Moriah, where the LORD had appeared * to his father David. This was the place that David had prepared on the threshing floor of Ornan * the Jebusite.
Context
1Ndipo Solomoni akaanza kujenga Hekalu la Bwana katika Yerusalemu juu ya Mlima Moria, pale ambapo Bwana alikuwa amemtokea Daudi baba yake. Ilikuwa katika kiwanja cha kupuria cha Arauna,* Myebusi, mahali palipotolewa na Daudi. 2Alianza kujenga siku ya pili ya mwezi wa pili katika mwaka wa nne wa utawala wake. 3Msingi aliouweka Solomoni kwa ajili ya kulijenga Hekalu la Mungu ulikuwa urefu wa dhiraa sitini* na upana dhiraa ishirini.*
Swahili text and audio: Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version™, made available under an open license by Biblica, Inc.