2 Nyakati 20:1
2 Chronicles 20:1 · Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version 2015
Ikawa baada ya jambo hili, Wamoabu na Waamoni, pamoja na baadhi ya Wameuni wakaja ili wapigane vita na Yehoshafati.
2 Chronicles 20:1 in English
2 Chronicles 20:1 · Berean Standard Bible
After this, the Moabites and Ammonites, together with some of the Meunites,* came to make war against Jehoshaphat.
Context
1Ikawa baada ya jambo hili, Wamoabu na Waamoni, pamoja na baadhi ya Wameuni wakaja ili wapigane vita na Yehoshafati. 2Watu fulani wakaja wakamwambia Yehoshafati, “Jeshi kubwa linakuja dhidi yako kutoka Edomu tokea ngʼambo ile nyingine ya Bahari.* Tayari liko Hasason-Tamari” (yaani En-Gedi). 3Yehoshafati akaogopa, akaazimu kumtafuta Bwana, na akatangaza kwa Yuda wote kufunga.
Swahili text and audio: Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version™, made available under an open license by Biblica, Inc.