2 Nyakati 14:2
2 Chronicles 14:2 · Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version 2015
Asa akatenda yaliyo mema na haki machoni pa Bwana Mungu wake.
2 Chronicles 14:2 in English
2 Chronicles 14:2 · Berean Standard Bible
And Asa did what was good and right in the eyes of the LORD his God.
Context
1Naye Abiya akalala na baba zake, akazikwa katika Mji wa Daudi. Asa mwanawe akawa mfalme baada yake. Katika siku zake, nchi ikawa na amani kwa miaka kumi. 2Asa akatenda yaliyo mema na haki machoni pa Bwana Mungu wake. 3Akaziondoa madhabahu za kigeni na mahali pa juu pa kuabudia miungu, akayavunja yale mawe ya kuabudiwa na kuzikatakata nguzo za Maashera. 4Akawaamuru Yuda kumtafuta Bwana, Mungu wa baba zao na kutii sheria zake na amri zake.
Swahili text and audio: Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version™, made available under an open license by Biblica, Inc.