2 Nyakati 13:22
2 Chronicles 13:22 · Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version 2015
Matukio mengine ya utawala wa Abiya, pamoja na mambo aliyofanya na aliyosema, yameandikwa katika kitabu cha maelezo cha nabii Ido.
2 Chronicles 13:22 in English
2 Chronicles 13:22 · Berean Standard Bible
Now the rest of the acts of Abijah, along with his ways and his words, are written in the Treatise * of the Prophet Iddo.
Context
20Yeroboamu hakupata nguvu tena wakati wa utawala wa Abiya. Naye Bwana akampiga Yeroboamu akafa. 21Lakini Abiya akapata nguvu. Alioa wanawake kumi na wanne na alikuwa na wana ishirini na wawili na binti kumi na sita. 22Matukio mengine ya utawala wa Abiya, pamoja na mambo aliyofanya na aliyosema, yameandikwa katika kitabu cha maelezo cha nabii Ido.
Swahili text and audio: Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version™, made available under an open license by Biblica, Inc.